Powered By Blogger

Friday, February 29, 2008

2 comments:

Msofu.com said...

Unadhani umaskini na matatizo yasiyoisha Africa yanasababishwa na nini hasa na vipi tunaweza kuyamaliza!

jj_jazzman said...

Nadhani ni tatizo la utawala. We have so much Leadership but less management. Na leadership yenyewe sometimes inakuwa na wrong values. Pia wakati mwingine tunasubiri serikali zetu zitufanyie kila kitu. Tumekubali tofauti zetu zitubague kwa hiyo umoja haupo. In short, kama tusipojitawala tutatawaliwa tena.